Makapuku Forum

Makapuku Forum

3/Mr & Mrs Yakov Kirillov
e18364c6151f6316b9db6ece46776763.jpg

Picha ni mfano tu
Ni wanandoa wa Kirusi wa karne ya 17 waliojaaliwa watoto 57 katika uzao wao wa mara 21
Walipata mapacha wa kawaida mara 10
Huku mapacha watatu mara 7
......
 
Utakuwa hujapata rafiki wa kuaminiana nae
Humu tupo tunaoaminiana na urafiki wetu upo hadi nje ya JF tukiwasiliana na hata kuonana
Ni kwa wale tu wanaoheshimu privacy za watu ....tukutana humu JF wala hatuwi na mbwembwe za kuonesha kwamba tunafahamiana wala nini
Kuna wengine ukiwapa tu # ya simu au kukutana nao ni kosa
Kila mkikutana thread yoyote hadi watu watajua mna ukaribu na atakuja kusema hadi kibanda cha mkaa unachojifichia na ishu zako kibao

.......
Aisee
 
Wakuu..

Naleta ombi kwenu..

Nilikuwa nataka nimpe mtu jukumu la NUKUU YA LEO.

Nilichukua hii segment from April, lakini nahisi nashindwa kuifanyia kazi ..nashindwa kudeliver hiki kitu kwa members hapa kutokana na Ratiba zangu kubadilika kidogo na ndio sababu haka kuingia humu nasua sua kidogo..

Ile segment ni nzuri sana, sikupenda tuikose kwa kweli..

So natoa nafasi kwa member ambaye anaweza kunisaidia aendelee nayo...siku akiwa yuko tight maybe i can take over for sometimes again..

Ni wazo tuu lakini .
Hi ni segment poa sana , na uliitendea vema. Anyway atakuja mdau Kapuku kuanzia pale ulipoishia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom