Makapuku Forum

Utakuwa hujapata rafiki wa kuaminiana nae
Humu tupo tunaoaminiana na urafiki wetu upo hadi nje ya JF tukiwasiliana na hata kuonana
Ni kwa wale tu wanaoheshimu privacy za watu ....
Tukikutana humu JF wala hatuwi na mbwembwe za kuonesha kwamba tunafahamiana wala nini (tunakausha tu)

Kuna wengine ukiwapa tu # ya simu au kukutana nao ni kosa
Kila mkikutana thread yoyote hadi watu watajua mna ukaribu na atakuja kusema hadi kibanda cha mkaa unachojifichia na ishu zako kibao hadi utatamani uwe unamkwepa humu Jf

.......
 
Ni wazo poa sana ila mimi nitakuwa last option
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha.... ....unanitia mashaka.... Hasa pale ulipomngangania nyoka mzee Akubali kujazwa ili nae ajazwe..... Nilihama tigo zamani sana ha ha ha ha ha ha ha.
Baada ya kujazwa ulionaa mambo huyaweziii
hao ndo wana tigo hawana dogo dadeeekiii...

Ila tuma kwqnza rambirambiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…