Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Wamebebwa au mbao walitingwaUbingwa ukipatikana kwa mbelekp km ya Thimbwa wala haunogi
Waamuzi ndo chanzo cha vurugu uwanjani
Ila Wasukuma wamekomaa sana halafu dk ya Mwisho mtu anapewa penati ya DEZO
UPUMBAVU MTUPU
.
Hongereni mashabiki wa Simba
Ole wenu msimu ujao tiwasikie "Yanga anabebwa"
.........
Mimi siyo Muislamu ni mkristo tena nisiye na msimamo mkali yaani mtegea kwenda kanisaniHaya mkuu. We hujafunga?
Sanaawakat ana saut tamu mnooo
Mimi pia ningependa kuandika makala kule Jamii Intellligence ila siku hizi kumeibuka kasumba fulani hivi kule jukwaani watu wanaleta ushabiki kama Team Kina na Diamond....kila atakayeanzisha makala anaambiwa "huwezi kushindana na Fulani..oooh mwachie fulani ndo anayejua"Wakuu, Shedede leo kapotelea wapi? Au kabanwa na mkewe hakuna kutoka leo? Couplez hizi ni pasua kichwa hapa Makapuku.
Anyway, nilikuwa nataka kutoa taarifa kuwa ile hadithi yake nimei-edit vizuri na iko tayari. Akirudi nadhani atairusha. Ni hadithi decent na Shedede ni mwandishi mzuri wa kiwango chake na akikazana na kufuata mawaidha na ushauri wangu wa kitaalamu atafika mbali.
Jana niliona watu wakinilaumu kuwa nawabania hadithi. Basi kazi yangu kama editor nimeshaimaliza na kuanzia sasa lawama zote zielekezwe kwa mwandishi (Shedede) mwenyewe!
Asante sana kwa uhaririWakuu, Shedede leo kapotelea wapi? Au kabanwa na mkewe hakuna kutoka leo? Couplez hizi ni pasua kichwa hapa Makapuku.
Anyway, nilikuwa nataka kutoa taarifa kuwa ile hadithi yake nimei-edit vizuri na iko tayari. Akirudi nadhani atairusha. Ni hadithi decent na Shedede ni mwandishi mzuri wa kiwango chake na akikazana na kufuata mawaidha na ushauri wangu wa kitaalamu atafika mbali.
Jana niliona watu wakinilaumu kuwa nawabania hadithi. Basi kazi yangu kama editor nimeshaimaliza na kuanzia sasa lawama zote zielekezwe kwa mwandishi (Shedede) mwenyewe!
Andika tuMimi pia ningependa kuandika makala kule Jamii Intellligence ila siku hizi kumeibuka kasumba fulani hivi kule jukwaani watu wanaleta ushabiki kama Team Kina na Diamond....kila atakayeanzisha makala anaambiwa "huwezi kushindana na Fulani..oooh mwachie fulani ndo anayejua"
Matokeo yake wengiwanaamua kuacha au kutoandika makala na Jukwaa kukosa msisimko
.....
.
Upogo? Habari ya jumamosi?Ulijua nini
Mtuwekeee humu kule tuwaachiee waoMimi pia ningependa kuandika makala kule Jamii Intellligence ila siku hizi kumeibuka kasumba fulani hivi kule jukwaani watu wanaleta ushabiki kama Team Kina na Diamond....kila atakayeanzisha makala anaambiwa "huwezi kushindana na Fulani..oooh mwachie fulani ndo anayejua"
Matokeo yake wengiwanaamua kuacha au kutoandika makala na Jukwaa kukosa msisimko
.....
.
Itawekwa wapiii??Asante sana kwa uhariri
Tunaisubiria kwa hamu kubwa
Nishausoma upepo na kuamua kukaushaAndika tu
Uzi ukiwa na mashiko utatembea tu
Hao wanaojifanya kutoa kasoro wachukukie kama changamoto tu
Mimi mwenyewe nimeacha hata kupita hukoMimi pia ningependa kuandika makala kule Jamii Intellligence ila siku hizi kumeibuka kasumba fulani hivi kule jukwaani watu wanaleta ushabiki kama Team Kina na Diamond....kila atakayeanzisha makala anaambiwa "huwezi kushindana na Fulani..oooh mwachie fulani ndo anayejua"
Matokeo yake wengiwanaamua kuacha au kutoandika makala na Jukwaa kukosa msisimko
.....
.
Gunners moja hiyo
Cheers!
Pole sana, nilikuambia mapema sanaMtuwekeee humu kule tuwaachiee wao
Mi nna uzi kuleMtuwekeee humu kule tuwaachiee wao
Mtuwekeee humu kule tuwaachiee wao
Km muda ukiruhusu au nikiwa na utayari nitakuwa napost humu siku za week end(Jumamosi/pili)Mimi mwenyewe nimeacha hata kupita huko