Makapuku Forum

Makapuku Forum

422bf78ff11cea1f9b0654b920e80e19.jpg
 
Hata mimi niliona. Kila anayeandika sasa inabidi achekechwe kupitia chekecho la The Bold. Ndiyo wabongo hao lakini. Kukatishana tamaa utafikiri watu wote wanafanana kiuzoefu, kimtazamo na hata kivipaji. Usitegemee encouragement kutoka kwa Mbongo hata siku moja na ukiwasikiliza utakata tamaa. We andika tu. Makapuku tupo tutakupa sapoti ya kutosha. Au iweke huku huku kwetu....
Ndo ivo
Wabongo bhana
Wengi wameamua kukaushia maana kumbuka humu hatulipwi halafu watu wanakushambulia
Bora usiandike tu
.......
 
Hata mimi niliona. Kila anayeandika sasa inabidi achekechwe kupitia chekecho la The Bold. Ndiyo wabongo hao lakini. Kukatishana tamaa utafikiri watu wote wanafanana kiuzoefu, kimtazamo na hata kivipaji. Usitegemee encouragement kutoka kwa Mbongo hata siku moja na ukiwasikiliza utakata tamaa. We andika tu. Makapuku tupo tutakupa sapoti ya kutosha. Au iweke huku huku kwetu....

Kuandika ni kipaji, na binafsi naamini hakuna ambacho hakijawahi kuandikwa. Na wengi huwa tunajaribu kuuhisha tu kilichokwisha kuwepo. (kama unapenda kujisomea vitabu na majrida utajua nasema nini)

Hilo Jukwaa nilipita na later nikaacha kuenda huko maana kila mmoja ana aina yake ya kuandika. Na kutafasiri kitu hakukufanyi wewe mfasiri kuwa orijinata wa wazo au chapisho na ndicho kinachoendelea kule.

But kwa maneno ya Biko, I write what I like' Naandika ninachojisikia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom