Makapuku Forum

Shunie pole kwa msiba wa watu wako wa karibu. Ndiyo maisha na japo pole yangu inakuja imechelewa lakini ina uzito uleule wa zilizotangulia. Mungu atakufuta machozi na kukufariji wewe binafsi na family yako.

Pole sana auntie kwa uliowapoteza, ndiyo maisha na lazima yaendelee na ndiyo maana kabla ya kuzika huwa tunajiuliza, tule kwanza au tuzike ndo tuje tule
 
Zimefika kabisa salamu
Japo wewe kwenye list sikuonii
 
Kumbe kafiwa
Wala sikujua
Kafiwa na nani?
Mungu amvushe katika kipindi hiki kigumu
..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…