1967 - Meli kubwa ya kubeba ndege vita ya Marekani yazinduliwa.
Meli hiyo inayojulikana kama USS John Kennedy ilizinduliwa na aliyekuwa Mke wa Rais wa Kennsedy, Jacqueline Kennedy na mwanae Caroline Kennedy.
Mi ni buheri wa afya sijui wewe?Jimena mzima?
Mi niko poa nduguMi ni buheri wa afya sijui wewe?
Naomba usinitoneshe hiki kidonda, maana kinasumbua kuponaMessi pamoja na ufupi wake aliruka juu zaidi ya Rio Ferdinand na kupiga header moja safi na kumuacha Edwin Van Der Sar asijue la kufanya.
Nimefurahi kusikia hivyoMi niko poa ndugu
2016 - Rais Barrack Obama wa Marekani anakuwa Rais wa kwanza wa Marekani kutembelea eneo la kumbukumbu la Hiroshima huko Japan ambalo liliathiriwa vibaya na mabomu ya nyuklia wakati wa Vita Kuu ya pili ya Dunia.
Eti ole wake atakaye ijadili tena, sizonje buanaLile limeli letu libovu walilokabidhiwa JWTZ inabidi tuliite Sizonje Ship ili vizazi vijavyo vijionee upuuzi wa Baba Bashite kununua kivuko feki
.....
Hakijapona tuNaomba usinitoneshe hiki kidonda, maana kinasumbua kupona
Anatufelisha sanaaLile limeli letu libovu walilokabidhiwa JWTZ inabidi tuliite Sizonje Ship ili vizazi vijavyo vijionee upuuzi wa Baba Bashite kununua kivuko feki
.....
Hao ndio Wamarekani
Makombora walifyatua wao wenyewe na kuteketeza idadi kubwa ya Wajapan kiasi kwamba hadi Mfalme wao alipooza
.
Leo hii wanajifanya wanaikinga Japan na Korea Kusini dhidi ya Korea Kaskazini kisa tu dogo mapanki anamiliki nyuklia
.......
Musso amekitonesha upya Ila nilikuwa nimeshasahauHakijapona tu
1923 - Mwanadiplomasia Henry Kissinger anazaliwa.
Ni Mmarekani mwenye asili ya Ujerumani ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani.
Anatajwa kama Waziri bora kuwahi kutokea katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.
Ndiye mtu aliykuwa nyuma ya kumalizika kwa vita ya vietnam na kumfanya apokee tuzo ya nishani ya Nobel.
Mbabe aliomba poo!
Ile vita USA alipigwa na kuambulia aibu ila ameamua kufanya tu propaganda kwamba iliisha kidiplomasia
......
1967 - Paul Gascoine ' Gazza ' anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Spurs na timu ya taifa ya England.
Alibarikiwa kuwa na kipaji cha hali ya juu, ila utovu wa nidhamu na ulevi uliopindukia uligharimu kipaji chake.
Apelekwe KibitiHuyu ndo unamwambia alinde raia watasalimika kweli
1985 - Roberto Soldado anazaliwa.
Straika wa Villareal ambaye pia amewahi kucheza Spurs.
Pole sana.Naomba usinitoneshe hiki kidonda, maana kinasumbua kupona
Tena wengine wanahudumiwa mpaka na Rais ila bado wanarudia..Alikuwa na kipaji kikubwa
Wayne Rooney anaitwa Wazza ikiwa ni kufananishwa na GazzaTukio lake la kumwaha chozi uwanjani wakati wa World Cup 1990 huko Italia lilipata umaarufu mkubwa
Siyo Bongo kina Chifd Brnz wanapewa kick za kusaidiwa kila siku na wanarudia ujinga wao na watu wanaendelea kuhangaika nao
Stupid
.......
Maisha bila Unafki hayaendi. - Edo Kumwembe
Hao ndio Wamarekani
Makombora walifyatua wao wenyewe na kuteketeza idadi kubwa ya Wajapan kiasi kwamba hadi Mfalme wao alipooza
.
Leo hii wanajifanya wanaikinga Japan na Korea Kusini dhidi ya Korea Kaskazini kisa tu dogo mapanki anamiliki nyuklia
.......
Huyu bado yupo hai, ingawa kuna kipindi alikuwa ICUAlikuwa na kipaji kikubwa
Wayne Rooney anaitwa Wazza ikiwa ni kufananishwa na GazzaTukio lake la kumwaha chozi uwanjani wakati wa World Cup 1990 huko Italia lilipata umaarufu mkubwa Aliishi na kufa katika maisha aloyojichagulia km George Best
Wazungu hawaangahiki na watu hata km ni mastaa km hutaki kubadilika wanakuacha ufe na ujinga wako km Amy Wintehouse
Siyo Bongo kina Chid Brnz,Dogo Mfalme,Ray C n.k wanapewa kick za kusaidiwa kila siku na wanarudia ujinga wao na watu wanaendelea kuhangaika nao
Stupid
.......