Makapuku Forum


Jina lake kamili ni Alexander Matthew"Matt" Busby
Hii ni sanamu aliyojengewa Akiwa na watoto wake "The Busby Babes" ambao walisumbua Uingereza ma Ulaya pamoja na dunia kwa ujumla kutokana na soka walilokuwa wajitabdaza
Baadhi ya wahanga wa ajali ya Munich
....
 
1941 - Aldrich Ames anazaliwa.

Jasusi wa zamani wa CIA ambaye anatumikia kifungo cha maisha kwa makosa ya kuuza siri za nchi.


Mwaka 1994 alitiwa ndani na kutupwa jela maisha bila uwezekano wowote ule wa kusamehewa wala kupunguziwa adhabu

Ndiye Jasusi mmbea zaidi wa CIA katika historia ya kizazi cha karibuni na pengine muda wote
Alivujisha siri kibao kubwakubwa kwa Waridi
......
 
YEREMIA 29

13.Nanyi mtanitafuta na kuniona,mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

MUNGU anataka tumtafute kwakweli,bahati mbaya sisi mara nyingi tunamtafuta MUNGU pamoja na mambo mengine na vitu vingine vinavyoonekana na kutuvutia kwa macho yetu kwa muda mfupi .
Tujitahidi kufumbua macho ya rohoni na kumruhusu Mungu atuonyeshe alichopanga tupate,tuhesabu baraka,uumbaji,upendo,amani,afya na mambo mengi aliyotupa bila hata kuomba.tumshukuru Mungu kwa yote anayotutendea.

Shalom
SIKU NJEMA
 
Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…