Makapuku Forum

R.I.P Ken,nadhani huyu ndege ni TAI,nasikia mtoto hakusurvive,na watu walimshutumu mpiga picha kwa nini hakumbeba....labda hakua na gloves..nawaza tu maana wenzetu bila gloves ni mara chache watakuhudumia hasa katika hali mbaya kama ya mtoto huyu.So alifeel guilty kwa kupiga picha na kushindwa kumsadia mtoto mwenye uhitaji.

So sad,hapa Tanzania pia imeanza tabia ngumu ajali maafa shida zikitokea watu hushughulika zaidi na upigaji picha sio kuokoa,wala kutoa msaada wa haraka hata kupiga simu kwa mamalaka husika,tabia ambayo imekomaa toka hizi simu za camera kusambaa utu umepungua sana.

Huyu Kevin Carter sijui aliwaza nini,kujiua alikua ma maelezo ya kutosha kutokana na mission yao,Mungu amsamehe sana na apumzike kwa amani.
 
Baadaye jioni nitamalizia hii stori..

The reason behind his Death! Jiulize kwanini alijiuwa?
 
1981 - Waziri Mkuu wa Italy Arnaldo Forlani na baraza lake la mawaziri wanajiuzulu kufuatia kashfa ya skendo mbalimbali.
Alizaliwa mwaka 1925(Nyerere akiwa na umri wa miaka 3 tu)
Alikuwa ni Waziri mkuu wa 43 wa Italia
Aliingia madarakani Oct 1980 yaani hakumaliza mwaka skendo kibao zikamuandama na kuachia ngazi
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…