Makapuku Forum

Makapuku Forum

5/Michael Legge
6c94b05036d7e48b73bc844202539a93.jpg
0e53b57b0d6fdbc45f70e7187a417ebb.jpg
Huyu ni Mwingereza ambaye alitumia miaka minne tu kufuga ndevu urefu wa futi 2
Enzi za utotoni/ujanani jamaa alikuwa staa baada ya kushiriki mashindano kibao na kuwagaragaza vibaya sana wapinzani wake waliokuwa na vindevu kiduchu kama vya Sizonje anavyotambia Bongo
Ndiyo bwana madevu mkuu huko kwa Malkia Elizabeth
........
watu wamejaaliwa ndevu
 
4/Paul Wright
ab1b493db505cae7e262488adeadf9fc.jpg
062c43199cba76b134eeb305a683310b.jpg

Hii pia ni njemba ya huko Uingereza ambayo ilitumia miaka mitano tu kufikisha ndevu zenye urefu wa futi 2 na inch 2
Kawahi kukwama huko nyumbani kwao
Huyu jamaa ndiye amampa ushindani bwana madevu hapo # 5
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom