Makapuku Forum

2/Sarwan Singh Huyu ni muhindi mwingine ambaye alipimwa midevu yake mwaka 2011 huko Canada na kuweka rekodi ya dunia nikiwa na urefu wa futi 8 na inch 2.5
Mwanzoni vipimo vilifanyika huko Rome ambapo Wataliano walimpunja na kudai zina urefu wa futi 7
Jamaa ni noma hata urefu wa kitanda haufui dafu
.......
 
1/Hans Nilsen Langseth
Huyu mnorway ndo Mfalme wa madevu kuwahi kutokea duniani
Ndevu zake zilipimwa kabla ya mazishi yake mnamo mwaka 1927 na kukutwa na urefu wa futi 17 na inch 6 hadi leo ishapita miaka 90 lakini rekodi yake ipo palepale aliyejitahidi amefikisha futi 8 tu
.........
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho kwenye 10 kubwa ya kufungia wiki
Mwisho
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…