Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Somo zuri. Hakika jamaa walijipanga.Kisha kikatengenezwa kituo maalumu kilichoitwa NASA's Kennedy Space Center ambapo mnamo July 16 1969 safari ya kwanza kwenda mwezini ikazinduliwa ambapo Neil A. Armstrong,Michael Collins na Edwin Aldrin walipaa na chombo hicho kisha wakawa binadamu wa kwanza kufika mwezini
........
Namuona Mobutu Sesseseko kibaraka wa Mataifa makubwa nae alikuwepo.Nkrumah na Nyerere walishiriki vilivyo uanzishwaji huo pamoja na Marais wengine wa nchi kadhaa km vile Libya,Senegal,Ethiopia,Togo n.k
Nyerere alienda kama rais wa Tanganyika ....Nchi zilizopata uhuru pekee ndo zulikuwa wanachama
.......
1993 - Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya iliyokuwa Yugoslavia yaanzishwa.
Shukrani mkuuPamoja mkuu
Pamoja sana swahibaSwahiba asante kwa Magazeti.
Aisee, wenzetu walianza siku nyingi1961 - Apollo program: Rais wa Marekani John F. Kennedy anahutubia Congress na kuwaambia Mpango wa Serikali kupeleka binadamu wa kwanza Mwezini kabla ya kumalizika kwa Muongo.
HBD Daniel1953 - Daniel Passarella anazaliwa.
Alikuwa ni beki kisiki wa kati wa timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya mabeki bora kuwahi kutokea.
Alifunga magoli 134 na kuwa beki wa pili katika orodha ya mabeki waliofunga magoli mengi zaidi nyuma ya Ronald Koeman ambaye kwasasa ni kocha wa Everton.
Ni mchezaji pekee wa Argentina kutwaa Kombe la Dunia mara mbili mwaka 1978 wakiwa nyumbani na 1986 pale Mexico.
Gerard hata msahau huyu jamaa1985 - Demba Ba anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Newcastle na timu ya taifa ya Senegal.
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Hongera kwa 197KSomo zuri. Hakika jamaa walijipanga.
2005 - Liverpool yashinda taji la Ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya.
Ni baada ya kupigwa 3-0 wakati wa kipindi cha kwanza, kabla ya kurudi kipindi cha pili na kusawazisha goli zote.
Wakaenda kushinda kwa mikwaju ya penati chini ya uongozi wa Nahodha Steven Gerrard na kocha Rafa Benitez.
Ni moja kati ya fainali za kukumbukwa.
Sisi tupo kwenye viwanda vya cherehaniAisee, wenzetu walianza siku nyingi
Na majiko ya chipsSisi tupo kwenye viwanda vya cherehani
2011 - Oprah Winfrey anafanya show yake ya mwisho kabisa ya kipindi chake cha The Oprah Winfrey Show kilichodumu kwa miaka 25.
Alilia sana.Gerard hata msahau huyu jamaa
HBD Demba
Ndio hapo huwa naona maajabu ya mpiraAlilia sana.
1953 - Daniel Passarella anazaliwa.
Alikuwa ni beki kisiki wa kati wa timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya mabeki bora kuwahi kutokea.
Alifunga magoli 134 na kuwa beki wa pili katika orodha ya mabeki waliofunga magoli mengi zaidi nyuma ya Ronald Koeman ambaye kwasasa ni kocha wa Everton.
Ni mchezaji pekee wa Argentina kutwaa Kombe la Dunia mara mbili mwaka 1978 wakiwa nyumbani na 1986 pale Mexico.
Aisee, asante sana. Naitafuta 200kHongera kwa 197K