shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Una ugonjwa wa pressure ni nini shemelaumeanza ujue mimi sitaki bwana
Una ugonjwa wa pressure ni nini shemelaumeanza ujue mimi sitaki bwana
Kweli camera zetu mbovu huwezi aminishemela shululu unaniharibia mke mwee![]()
Hapo sawa![]()
nipo zangu kitandani mimi
MkuuMpoo mazee
Karibu tena na tenaNimerudiiii rasmiiii
Ndo ifungwe sasaumeanza ujue mimi sitaki bwana
Wacha fitna husna... Alafu kuwa na shukran... Shunie kakutengenezea wewe unamvurugia.... Ni uungwana kweli huo.?Na wamesha do something we ulie tu
Ndio best rafik kipenziiHio leo????
Uchocheziii![]()
![]()
dawa zimechelewa kufanya kazi
Niko bin siliasingaaaYaani Lee msanii kweli kweli
Uko frsh?? mkuu shululuMambo vip afande shedede
Ah wapi mi ndio founder mwenyewe..ohoooUnauliza majibu. Mimi, of course! Umetoka kuwa mlinzi wa Lee hata mwezi haujaisha unataka uwe bosi wangu. Are you serious?
Pm zako naziona ila sijibuuTatizo demu wake mwenyewe hajui kumdekezaa
Nakutaka kazin kuanzia keshoUko frsh?? mkuu shululu
Wee kibokoooo
Ushapata mke au ndo unabungaabungaaKaribu tena na tena