Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
kivuruge na wakati unazidi kunivuruga tuUtakufwajee wakati kivuruge chako nipoooo

kivuruge na wakati unazidi kunivuruga tuUtakufwajee wakati kivuruge chako nipoooo

Kama hujui shunie nimemwacha humu miezi 5 nikatokomea porini uliza shimba ..mchepuko wako shedede ...na wengine waliojaribu kumsumbua waliambulia nini ...
Shunie ni lee na lee ni empire wa shunie

Kisasi gani hicho husna... Sikuwepo ebu niupdate.Nimelipa kisasi na siombi radhi wAla nn
Naye aliniambia eti namtaka Lee
Iliniuma ndio nimelipa kisasi
Bhinamuuu unanionea bure yote ilikuwa ni kutafuta njia mbadala japo siamini katika ule usemi wa wajinga ndio waliwao la mwajuma ....tulijitahid mambo ya kazi yakaka sawa na mtaalam alisema kwa mama blessed njia zake hazifui dafu tukapanga uanze kumeza mistari ya bible
Yote kumi kum na moja na wewe ule wimbo wako uliokuwa umesave kama call tone kwenye kitekno chako ulikuponza ...nakumbuka ulikuwa unasema ""nimezunguka tanzania baraaa..unguja na pemba nimefika ..sijawaona warembo wenye sifa wenye kujipamba wakapambika ajhaa...kwa hiyo nyie kapuku wangu (uliedit) siangaiki na suraaa ...

Ikifunga nasaini talakaMh man u ikifungwa tu ndio nahamia chelsea
Camera hatujatengeneza bado mke mweepicha tafadhali![]()
Kama hujui shunie nimemwacha humu miezi 5 nikatokomea porini uliza shimba ..mchepuko wako shedede ...na wengine waliojaribu kumsumbua waliambulia nini ...
Shunie ni lee na lee ni empire wa shunie

Nimerudiiii rasmiiiiTupo ukapukuni
Shunie sijui kama anaangalia live, itakuwa recorded
nipo zangu kitandani mimi
Mmmmmmhkivuruge na wakati unazidi kunivuruga tu![]()
umeanza ujue mimi sitaki bwanaIkifunga nasaini talaka
shemela shululu unaniharibia mke mweeCamera hatujatengeneza bado mke mwee

karibu tena kivuruge wangu mimi apaNimerudiiii rasmiiii
Alitua kwa mama mchuchu too late
Hio leo????Samahani nimeskip pages rafiki kipenzi ila naomba uniambie kiroho safi kama umemtongoza shunie
baby acha basi kunivuruga usinifanyie hivyoMmmmmmh
Yaani Lee msanii kweli kweliWanataka nini ...alafu naanzia wapiii kukuacha baby swty kipenda rohoooo
Apa sio upuuzi tena
Baby unajua navokuvuruga ila moyo wangu unao