Nendeni entartainmentakikupa link unitag plz
hahhah huyo ndio binamu obe mzee wa bakulutuBinamu yako kanichekesha sana
Unaanza ugomvi lioneeee
Baby endelea mwayaaa usimsikilize huyu bashite tu
We muongo baada ya kuskia ety
Tumosa anataka ku-hug mashine
Ukaamua umwite mwenye nayeaisee
Kivipkama umechefukwa tapika aisee ila shedede umepatikana
Mimi fala kweli badala ya kujitahidi kukariri mistari, naungana na mjombaangu lee empire kuongelea masuala ya waganga wapiga ramli. Ona sasa kilichonikuta
Afu namlaumu mjomba tu kwa kweli
Prof. Muongo is a survivor. He will be back.Muziki Bila Sababu
Habari Makapuku!
Kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu, sitaweza kuongelea utamu wa gitaa kwa leo. Tupo na profesa Muongoo tunaandaa kushawishi iletwe ripoti ya ununuzi wa meli MV daslam.
hata hivyo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu siwezi kuwaaga bila kuwaachia ka-gitaa na kisauti cha mwanamama mtamjua mwenyewe.
Nyie ni watu bora kabisa kutumia wakati wenu nami jioni na usiku huu. LLL
Eeeh hapa hapa shemUtaidrop hapahapa eeeh,naisubiri shem
Huu uchochezi sasa,mke mwenzio cio lazima awe mke wa mumeo anweza kuwa mke wa shemejioKwaiyo dr.lee anawake wangapi
nimehairisha
Naona umekuja kutuletea kupatwa kwa shedede
Hahahaha msukumaAisee! Mke ananunua utani wa mume! Nyie kweli mmekutana. Vipofu wawili wanaojaribu kumpapasa tembo wa mapenzi. Ya Bashite yana unafuu!
kwahiyo mke mweeh unashindwa kununua soda mpk uka hug upate soda ya bure kwelii usitudhalilishe hivyo shemela wangu engeneer mkubwashemela mashine hzo ukzhug znakupa soda bure ss kwann zsihugiwe
Hahahaha poa shemAkaandke tu me naandaa mkeka wa kukalia wakati wa kuisoma,cio kwa uroho wa stori huu
kwa kupendwaKivip
Mimi fala kweli badala ya kujitahidi kukariri mistari, naungana na mjombaangu lee empire kuongelea masuala ya waganga wapiga ramli. Ona sasa kilichonikuta
Afu namlaumu mjomba tu kwa kweli
Couplez zenye viherehere. Adam na Hawa cha mtotokweli baby bora unisemee wewe
Basi we utakuwa unachepuka na shululu ndio maana unamuita tumosa Mke mweeAna mke mmoja tu ambaye ni shunie
Usiahirishe shemela mweeenimehairisha
Naona umekuja kutuletea kupatwa kwa shedede