Makapuku Forum

Makapuku Forum

Zawadi nikabidhiwe kabisa ili atakaetupia ya 20k nimkabidhi,
Mdhamini Rev jambilo hakikisha umeshainunua hiyo Zawadi na kunikabidhi kabla ya post ya 20k kupostiwa
1461528050298.jpg
zawadi hiyo hapo ximena usiichakachue dadangu
 
TAARIFA KWA MAKAPUKU WOTE
Dakika tano zijazo kamanda kikosi MAKAPUKU forum atapita katika jukwaa hili akielekea rest house kwa ajili ya kulalaa

haya makapukuu woteee mguuu upandeee..
mmguuuu sawaaaa
Mwiliiiiiii legezaaaaaa

Tuliaaaaaaaaaa

IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
Acha matusi wew hiyo rank yako ndogo sana kwangu huwezi niamurisha, tenaw
Mwili legeza ili iweje!
Alaaaa
 
Wakuu mi nalala, ila mtu atakaetupia ya 20k kama ntakuwa bado nimelala apige screenshot au anitag ili nimpe zawadi yake kutoka kwa mdhamini wetu
Usiku mwema wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom