Hawa ni wataalamu wa kubuni na kutengeneza tovuti
Ndio waliomshawishi/vutia wazo Mark Zuckerberg kuanzisha mtandao wa Facebook
Pia wana kipaji cha kurusha mikuki na walishiriki pamoja katika michuano ya Olympic huko Beijing China 2008
..........
Hawa ni wacheza mpira wa Marekani(American Football)
Ronde anachezea Tampa Bay wakati Tiki anachezea New York Giants...wanafansns kama Rafael na Fabio
Wakati wakichezea timu moja ilikuwa ni balaa kuwatofautisha
........