Wapiii sasa jamaniii
Aiseeeh kama ustaarabu ungekuwa unauzwa sijui
Hapa kwenye daladala la kwenda mtakuja nimebahatika kupata siti ila kuna mrembo kasimama na mimi nilivo nundaz sijamuulumiaa eti akae
Ila navomchungulia naoa kwenye kwapa ana bonge na manyweleee
Sijui nimkumbushe ..ila mrembo kaumbika tatizo hilo tu