sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Karibu......hodi humu ....
Karibu......hodi humu ....
Nzuri sana hii.... Hongera sanaLeo ni siku ya kupeana mrejesho wa tulichoingiza ama kupoteza kwa week inayomalizika ya kazi...marehemu bibi wa mjomba wa rafiki yangu aliwahi niusia kwamba "ili ujue unapoelekea ni lazima uwe na dira ya kukuongoza". Ndiyo maana mimi na mama yenu ikifika siku hii ya leo kwanza tunaenda kumshukuru aliye juu kisha tunarudi nyumbani ku review ni wapi tulipo na ni kwanini hatukufikia malengo ya week! Kwa hiyo mkuu leo nipo tu Ipuli kijijini huku!
Umesahau kuwa uliipinga Ile ndoa?????
Atakuwa ameshasahau.Umesahau kuwa uliipinga Ile ndoa?????
Si nilikubali.....Umesahau kuwa uliipinga Ile ndoa?????
Vipi mkuu.Naombeni likes jamani,
Nna kazi nazo leo jumapili.
BadoooooSi nilikubali.....
Kwani hamjafunga tuuu
Poa mkubwaVipi mkuu.
Mzee wa Jungle
Karibu mkuu.Poa mkubwa
Pamoja sanaKaribu mkuu.
Hahahaa umenikumbusha mshikaji wangu mmoja alichoimba huyu mbunge ni sawa kabisaHahaa... Sio huyu Bitoz wetu wa Makapuku, nahisi huyu atakuwa yule aliyeimbwa kwenye wimbo wa Pro. Jay enzi hizo.
![]()
![]()
le mdogoz
Vise versa is trueAzamu lazima akaeee
Yanga lazima ipite
Ulisafiri?Duh...nliwamis mno makapuku wenzangu
...