Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Mkuu, mbona mapema hivyo?
Au ndo mambo ya 'out' yameanza?
Tuambizane braza.
le mdogoz
Amesema kazi nyingi sana leo.Mkuu huyu naona anapoteza sifa ya kuwa kapuku kwa kuwa kashapata exposure!
Karibu sanaaaaNgoja tutafute nguvu kidogo tuje kupambana huko
Miss you![]()
![]()
![]()
![]()
Laaziz
.........
Mambo?
Pouwa sana. Mimi siye....Mambo?
Hivi wewe ndio @mizarubi au?????
hahahahaHahaa... Sio huyu Bitoz wetu wa Makapuku, nahisi huyu atakuwa yule aliyeimbwa kwenye wimbo wa Pro. Jay enzi hizo.
![]()
![]()
le mdogoz
asante sana,,,Karibu sanaaaa
Basi atakuwa ndugu yakoPouwa sana. Mimi siye....
Ni kweli kikubwa uvumilivu tuAsante...june sio mbali sana.
Chris Smalling kajiweka....