Makapuku Forum

Makapuku Forum

116f9f0159b23e684cdf4bed125cf81e.jpg

Full time
............
 
Hapo inategemeana na wewe ulivyojipanga na mazingira yako yapoje. Mfano hata mimi mda mwingi niko busy hivyo sina mda wa kwenda popote kupumzika.
Kweli mkuu.
mimi nikishapata sehemu ya kufurahi na watanzania wenzangu kama hapa basi akili yangu inarelax kabisa sina haja kabisa ya kutafuta kiburudisho kingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom