Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kafundwa kwaooo,kwamba asipokuwa omba omba mumewe atamzidishia mahabaa! uzuri wenyewe huku wala hela haina kazi sana maana mafuta tunalima wenyewe ufuta, vitumbua asubuhi tunakaangia mafuta ya mawese, chai tunaweka asali badala ya sukari, mpunga na mahindi ya kutosha, sana sana ni hela tu ya chumbi na nyama kidogo ya kuchanganyia ya tetere na ndezi!
Hadii raaah yani dah....

Huku mjini lazima tuwape hela.

Nywele zile za katani lazima waweke.

Kucha zao haziwatoshi lazima wabandike zile zenye rangi nzuri

Nyusi na kope lazima waziwekee rangi rangi flank nzuri ili wapendeze.

Mdomoni lazima wapake pia. Ili wawe wazuri.

Ndio hivvyo lazima tulipie.....na maisha yanakwenda
 
Mkuu naona leo umeamua kutiririka.
 
Hadii raaah yani dah....

Huku mjini lazima tuwape hela.

Nywele zile za katani lazima waweke.

Kucha zao haziwatoshi lazima wabandike zile zenye rangi nzuri

Nyusi na kope lazima waziwekee rangi rangi flank nzuri ili wapendeze.

Mdomoni lazima wapake pia. Ili wawe wazuri.

Ndio hivvyo lazima tulipie.....na maisha yanakwenda

Ukipata mke mpenda hela ni jambo zuri kwa kuwa anakupa akili ya kutafuta hela kwa kasi kubwa!
Na ukipata mke mfanyakazi anayelipwa 300,000 kwa mwezi ila anamiliki simu ya 900,000 inayojaza salio la 75,000 kwa mwezi anapiga wigi la 250,000 kucha na scrub kila weekend 20,000 nyumbani analetwa na 'private car' nguo za 200,000 TK Fashion basi huyo mpeleke UDSM kwenye kitivo cha biashara na mambo ya uchumi wampe uprofesa wa uchumi moja kwa moja!
 
Sasa ukifanya hivvyo Si 80% watakuwa ma Associate profesa...
Ha haaa maaana wanawake wetu Wa dar wote wana degree za Bicom marketing na financial accumulation
 
e0fe0647901dec92b51388ffe288b1b0.jpg
 
Ukipata mke mpenda hela ni jambo zuri kwa kuwa anakupa akili ya kutafuta hela kwa kasi kubwa!
Na ukipata mke mfanyakazi anayelipwa 300,000 kwa mwezi ila anamiliki simu ya 900,000 inayojaza salio la 75,000 kwa mwezi anapiga wigi la 250,000 kucha na scrub kila weekend 20,000 nyumbani analetwa na 'private car' nguo za 200,000 TK Fashion basi huyo mpeleke UDSM kwenye kitivo cha biashara na mambo ya uchumi wampe uprofesa wa uchumi moja kwa moja!
Dah,wewe jamaa umeniacha hoi na mahesabu yako haya.
Ni kweli kuna wanawake ni wajuzi sana wa kutumia pesa kuliko kutafuta.
Mimi nimesha apa mwanamke wa dizain hii simtaki kabisa maana atasababisha tufe maskini.
 
Labda ukaoee huko mkoani....
Lakini kwa hapa dar...
Wengi ndio wapo hivvyo braza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom