sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Karibu KiongozNimesoma kitambo sana yaani, nilikuwa sina pa kupost tu ndo nimeanzia hapa!
Karibu KiongozNimesoma kitambo sana yaani, nilikuwa sina pa kupost tu ndo nimeanzia hapa!
Nimekaa Lushoto Sinza 2yrsAisee mimi nimemiss sana kula mafenesi na machungwa.
Tanga raha sana
Mkuu huu ni upendo wa kiroho tu.Unataka uongeze mke Wa pili????
Cc Nahrene njooo haraka nakutafuta
Sumbai leo yuko kimbea zaidi..hahahMkuu huu ni upendo wa kiroho tu.
Lushoto ni kama bustani ya edeni kuna kila aina ya matunda.Nimekaa Lushoto Sinza 2yrs
Kuna baridi na matunda kibao
..............
Mkuu kijijini ni kuoa tu mwanamke mwenye bidii na uzoefu kwenye stadi za maisha,ajue walau kulima zao moja la biashara na aina mbili tatu za zao la chakula! Tena mtafute mwenye nywele kipilipili hasa ili kupunguza bajeti ya saluni kwa kuwa kipilipili hata msuko wa twende kilioni kinakubali tu!
Naona leo jamaa amekuja kivingine.Sumbai leo yuko kimbea zaidi..hahah

Pole kula dunia kabla haijaanza kukukula wewe na kukumaliza
Mkuu lushoto umekaa sehemu gani? Bumbuli, mlalo mloa,soni, ngwelo??? Magamba?Nimekaa Lushoto Sinza 2yrs
Kuna baridi na matunda kibao
..............
Ha Haaaa........Mkuu huu ni upendo wa kiroho tu.
Wengine pia,Lushoto ni kama bustani ya edeni kuna kila aina ya matunda.
Karibu tena.
Hahaha.Wengine pia,
Mkuu lushoto umekaa sehemu gani? Bumbuli, mlalo mloa,soni, ngwelo??? Magamba?
Osiieh
Wapi???Hahaha.
Wewe pia nakukaribisha kwetu mkuu.
Pamoja na makapuku wote.
![]()
![]()
![]()
![]()
Ha haa Huyo mwanamke Wa kijijini kusuka ni anasaaa.....
Mnyoe kipara alafu MPE remba kubwa.
Wakijijin mnafaidi...mnoo. Sisi huku deileee ni kukamuliwa hela.
I miss kjjn huko
Hhahaha.Ha Haaaa........
Haiyaaa. Mbarikiwe. Roho asije kaa mbali
Okkkky mkuu.![]()
![]()
Nilikuwa nasoma IJA ...Nimekaa Sinza & Dochi halafu nilikuwa naendaenda SEKOMU kule Mlalo
Sijawahi kupamba Shambalai basi la Kisambaa nilikuwa napiga Manning Nice tu
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Tanga-LushotoWapi???