Makapuku Forum

1934 - Majambazi wa benki Bonny and Clyde wanauwawa na FBI katika mapambano ya kurushiana risasi.

Majamnazi hao walitikisa sana ndani ya Marekani kwa kuvamia na kuiba katika Mabenki kipindi cha Mdororo wa Uchumi ( World Economic Depression. )

Bonny=Bonnie lilikuea ni jambazi sugu pamoja na demu lake
Muvi kibao zimechezwa kuwazungumzia
......
 
Poleni wakina mama mliofiwa na waume zenu kwa kuuawa bila hatia,na hata kama ilikuwepo sheria ilipaswa kuchukua mkondo.
Mungu anawaona na anawaangalia kwa upendo,jamii pia inapaswa kutambua makundi haya na kuyajengea uwezo na kuwasaidia,upendo,faraja,msaada wa kimwili na kiroho
ZABURI 68

5.Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane,Mungu katika kao lake takatifu.

6.Mungu huwakalisha wapweke nyumbani,

Ndiye mtetezi wao,wajinyenyekeze mbele zake na hakika wataishi na kuyaona matendo makuu ya BABA.
Faraja ya Mungu ipitayo faraja zote itawale katika maisha yao Amen.
 
1945 - Mkuu wa Jeshi la kijerumani la Schutzstaffel( SS ) Heinrich Himmler anajiua.

Hiyo ni baada ya utawala wa Hitler kuanguka, na kamanda huyo kukamatwa.
Hawa ndio wanaume halisi wa Kijerumani wana roho za paka kupambana hadi Mwisho walizidiwa hujiua ili kuepuka kidhalilishwa
Hitler km kiongozi wao alifanya hivyo japo kuna utata
Goebells km Waziri wa propaganda alifanya hivyo pia
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…