Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukiwa mwanaume wa Dar na unaona wingu kwenye maisha dawa ni kutafuta mwanamke mwenye reception nzuri kisha wewe kuwa mtiifu kwa bosi wake ili ampe mkeo safari nyingi za 'kikazi' kumwongezea kipato cha kujiunga vikundi vingi vya vikoba!
Haa Haaaa......

Ukiwa wakijijini inabidi uoe mwanamke Wa shoka.

Mkuu huku dar hatuoi.... Ila mahitaj yote ya make tunapata
 
Haa Haaaa......

Ukiwa wakijijini inabidi uoe mwanamke Wa shoka.

Mkuu huku dar hatuoi.... Ila mahitaj yote ya make tunapata

Mkuu kijijini ni kuoa tu mwanamke mwenye bidii na uzoefu kwenye stadi za maisha,ajue walau kulima zao moja la biashara na aina mbili tatu za zao la chakula! Tena mtafute mwenye nywele kipilipili hasa ili kupunguza bajeti ya saluni kwa kuwa kipilipili hata msuko wa twende kilioni kinakubali tu!
 
Back
Top Bottom