Makapuku Forum



Ha haa Huyo mwanamke Wa kijijini kusuka ni anasaaa.....

Mnyoe kipara alafu MPE remba kubwa.

Wakijijin mnafaidi...mnoo. Sisi huku deileee ni kukamuliwa hela.

I miss kjjn huko
 
Mkuu lushoto umekaa sehemu gani? Bumbuli, mlalo mloa,soni, ngwelo??? Magamba?

Osiieh

Nilikuwa nasoma IJA ...Nimekaa Sinza & Dochi halafu nilikuwa naendaenda SEKOMU kule Mlalo
Sijawahi kupanda Shambalai basi la Kisambaa nilikuwa napiga Manning Nice tu

..................
 


Ha haa Huyo mwanamke Wa kijijini kusuka ni anasaaa.....

Mnyoe kipara alafu MPE remba kubwa.

Wakijijin mnafaidi...mnoo. Sisi huku deileee ni kukamuliwa hela.

I miss kjjn huko

Kafundwa kwaooo,kwamba asipokuwa omba omba mumewe atamzidishia mahabaa! uzuri wenyewe huku wala hela haina kazi sana maana mafuta tunalima wenyewe ufuta, vitumbua asubuhi tunakaangia mafuta ya mawese, chai tunaweka asali badala ya sukari, mpunga na mahindi ya kutosha, sana sana ni hela tu ya chumbi na nyama kidogo ya kuchanganyia ya tetere na ndezi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…