Makapuku Forum

AAAAAAmen[emoji120]
 
Kama huyu anaishi 200yrs. Hao wengine.....[emoji134]
 
Nakubali
 
1/Immortal Jellyfish Tafsiri isiyo easmi ya immortal ni kuishi milele
Yaani Hawa samaki ni km vile huishi milele
Pindi wakijeruhiwa hujibadili na kurudi vilevile!!!
Kiufupi hawajui kufa kwa ugonjwa wala ajali labda wamezwe watafunwe
Hivyo ndo vinara wa kuishi miaka mwingi
..
.
.
.viumbe vya bahari ni ndo vinaongozi kwa kuishi miaka mwingi
Hii inadhihirisha Maji ni Uhai
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
 
Ubarikiwe mkuu Bitoz kazi yako ni njema ,nimejifunza mengi asante sana [emoji120] uwe na wakati mwema ,Mkono wa Mungu usikupungukie[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…