BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Magimbi mekundu au meupeSawa ila mimi najua kupika magimbi, viaz mchemsho, supu ya makongoro, ugali, maharage, chai ya rangi na mchele ule wa bei ya chini. Mm sizijui bagga sijui chiken nini hizo mm sijui kabsa....
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123][emoji4] [emoji106]
Hahahaha Shunie mwanangu Love you[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257]Agonile baba
Magimbi aina zote naweza kupika..Magimbi mekundu au meupe
Amen ubarikiwe kwa neno[emoji524] ZABURI 126
1.Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni,tulikuwa kama waota ndoto.
2.Ndipo kinywa chetu kilipojaa KICHEKO,na ulimi wetu kelele za
furaha
Ndipo waliposema katika mataifa BWANA amewatendea mambo MAKUU.
3.BWANA alitutendea mambo makuu,Tulikua tukifurahi.
4.Ee BWANA ,Uwarejeze watu wetu waliofungwa,kama vijito vya kusini.
5.Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
6 .Ingawa mtu anakwenda zake akilia azichikuapo mbegu za kupanda.
7.Hakika atarudi kwa kelele za furaha aichukuapo miganda yake.
[emoji523] MUNGU ALIYE HAI NA AKUPE KICHEKO TENA KATIKA LOLOTE AMBALO LIMEKUWA LIKIKUTEKA KWA MUDA SASA,AKUSHANGAZE TENA KWA MATENDO YAKE MAKUU,IWE MAGONJWA,KUTOFANIKIWA KATIKA LOLOTE,MUNGU AKUTENDENDEE MAMBO MAKUU,KWA JINA LENYE NGUVU. LA YESU KTRISTO ,AMINA
PoaMagimbi aina zote naweza kupika..
Asante sana ubarikiwe na mkono wa Mungu uwe kwako naomba nishiriki nawe ahadi hii ya Mungu wetu
End
......
Bila hata fishUkija tutakuandalia ugali wa muhogo na kisamvu[emoji4]
Yenye picha ile ile.... Nimeuona janaAkaja kujibu na ID nyingine
Hebu weka picha kwanzaMagimbi aina zote naweza kupika..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hebu weka picha kwanza
Mwisho wa kunukuu[emoji1]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Humu hakuna kiongozi
Wote yupo sawa
Ila kama shida yako ni kuwa kiongozi
Basi tunakupa uongozi wa upishi
Karibu sana
.......
[emoji120] [emoji120][emoji524] ZABURI 126
1.Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni,tulikuwa kama waota ndoto.
2.Ndipo kinywa chetu kilipojaa KICHEKO,na ulimi wetu kelele za
furaha
Ndipo waliposema katika mataifa BWANA amewatendea mambo MAKUU.
3.BWANA alitutendea mambo makuu,Tulikua tukifurahi.
4.Ee BWANA ,Uwarejeze watu wetu waliofungwa,kama vijito vya kusini.
5.Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
6 .Ingawa mtu anakwenda zake akilia azichikuapo mbegu za kupanda.
7.Hakika atarudi kwa kelele za furaha aichukuapo miganda yake.
[emoji523] MUNGU ALIYE HAI NA AKUPE KICHEKO TENA KATIKA LOLOTE AMBALO LIMEKUWA LIKIKUTEKA KWA MUDA SASA,AKUSHANGAZE TENA KWA MATENDO YAKE MAKUU,IWE MAGONJWA,KUTOFANIKIWA KATIKA LOLOTE,MUNGU AKUTENDENDEE MAMBO MAKUU,KWA JINA LENYE NGUVU. LA YESU KTRISTO ,AMINA
Ni kweli hata kinyesi huwa ni kibichi hata km kimemalizika kutokaLigi bado mbichi ubingwa utahamia mitaa ya Msimbazi muda sio mrefu
[emoji85] [emoji85] love you too mama mchuchu [emoji8] [emoji253] [emoji253] [emoji8] acha na mm nikupe flowers na mimi [emoji2]Hahahaha Shunie mwanangu Love you[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257]
mmh
Mwisho wa kunukuu[emoji1]