shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Ya kweli hayaNiko poa mamii shunie.
Hakika nimekubali kuwa wewe ndiyo roho yangu..
Haiwezekani kila naepiga nae story namuita shunie...kuna kitu siyo bure.
Ya kweli hayaNiko poa mamii shunie.
Hakika nimekubali kuwa wewe ndiyo roho yangu..
Haiwezekani kila naepiga nae story namuita shunie...kuna kitu siyo bure.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]utamu wa lee uliuonaje shemela
teh teh[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji18] [emoji18][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Cc.shululu[emoji18] [emoji18]
Marahaba mzima Arch Ubarikiwe sana jumapili njemaamen
shkamooo!
Pole,kaa nae muongee labda kuna kitu kinamsumbuasina hata nilichomfanyia mke mwee
sante mke mwee nimeshapoaPole,kaa nae muongee labda kuna kitu kinamsumbua
Shunieee[emoji2]
Njemasafi mamy za kwako
Sawa mkuuKunipa hai tu [emoji137] [emoji137] [emoji137]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji121] lazima umwite kwa nguvu zote huyo ndio kiboko yako
hahahhReal?
Basi shemeji yangu..
Abeeh mamaShunieee
Muite dada hebu ..hahahh
[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hakika mama mchungaji Mungu awasaidie wamalize matatizo ktk ndoa yaoNimeiweka mikononi mwa Bwana atengeneza njia pasipo na njia
[emoji524] KUTOKA 14
21.MUSA,akanyoosha mkono wake juu ya bahari,BWANA akaifanya Bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu toka mashariki.usiku kucha,akaifanya bahari kuwa nchi kavu,MAJI YAKAGAWANYIKA
22.Wana wa Israel wakaenda ndani ya nchi kavu;nayo maji yalikuwa ukuta kwao mkono wa kuume na mkono wa kushoto.
HAKIKA HAKUNA LISILOWEZEKANA KWA MUNGU,IPO NJIA NA UFUMBUZI UTAPATIKANA HALELUIYA[emoji123]
Architect ni ajeee?amen
shkamooo!