Nimeiweka mikononi mwa Bwana atengeneza njia pasipo na njia
KUTOKA 14
21.MUSA,akanyoosha mkono wake juu ya bahari,BWANA akaifanya Bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu toka mashariki.usiku kucha,akaifanya bahari kuwa nchi kavu,MAJI YAKAGAWANYIKA
22.Wana wa Israel wakaenda ndani ya nchi kavu;nayo maji yalikuwa ukuta kwao mkono wa kuume na mkono wa kushoto.
HAKIKA HAKUNA LISILOWEZEKANA KWA MUNGU,IPO NJIA NA UFUMBUZI UTAPATIKANA HALELUIYA