Sure!! Sisi kilio chetu kikuu ni hiki, kama tumeamua JF iwe ni social network ya watu wote basi each member should be treated with dignity and equality. Tabia ya mtu akichangia kitu unakimbilia kwenye profile yake kuangalia ana muda gani jf na ana likes ngapi pamoja na followers afu unarudi kumpa maneno ya kejeri ni upuuzi inaobidi ufe.
Wana exegarate tu hawa viongozi wa dini, ila maandiko yameweka kila kitu wazi.
Ni kama wanavyosema kuwa pombe ni dhambi ilihali maandiko hayajasema hivyo.
Kikubwa ni upendo tu hayo mengine ni mapokeo
Love is my religion