Makapuku Forum

Makapuku Forum

7ceea2d2bfd812b74f26bf74b33e3ba0.jpg
Hee...!!
 
Sure!! Sisi kilio chetu kikuu ni hiki, kama tumeamua JF iwe ni social network ya watu wote basi each member should be treated with dignity and equality. Tabia ya mtu akichangia kitu unakimbilia kwenye profile yake kuangalia ana muda gani jf na ana likes ngapi pamoja na followers afu unarudi kumpa maneno ya kejeri ni upuuzi inaobidi ufe.
Yaap uko sawa kabisa ulichokisema ndio wengine tumebak wasomaji tu
 
Wana exegarate tu hawa viongozi wa dini, ila maandiko yameweka kila kitu wazi.
Ni kama wanavyosema kuwa pombe ni dhambi ilihali maandiko hayajasema hivyo.
Kikubwa ni upendo tu hayo mengine ni mapokeo
Love is my religion
Nimekupenda bure WiFi angu

Amri kuu tuyoachiwa na tunapaswa kuifuta ni UPENDO

"Let Love Lead"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom