sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Upo?? Mrembo aggyMaisha yanafanya tusauliane kwa mda..Hope wote mu wazima huku!
Upo?? Mrembo aggyMaisha yanafanya tusauliane kwa mda..Hope wote mu wazima huku!
Kitabu cha Sira hakipo kwenye hizi bibliaHiyo sio Bible lakini, nadhani ni kile kitabu cha Sila
Mkuu Leo hujaenda shamba na mama watoto???Watu mna misemo ninyi...ngoja tuuingize kwenye hansadi kamili za Bunge la Makapuku ili urasimishwe kisheria...ila hujaweka wazi huyu mume masikini ni mume wa Dar ama mume wa kijijini!
I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu![]()
![]()
![]()
![]()
Shem upo!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu mamy tunamalizia weekend kijiwen kwetu
WalikitoaKitabu cha Sira hakipo kwenye hizi biblia
nipo sumbai...vp kwema humuUpo?? Mrembo aggy
Asante Mumy ila napita tu....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu mamy tunamalizia weekend kijiwen kwetu
Mmh ilo busu lako limenishtua ndotoni asee, hebu rudia tena ili niamini kama nilikua sioti!!I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu![]()
![]()
![]()
![]()
nipo wii.siku nkiwa free ntajimwaga humuWazima wifi, umepoteaaaa
Hahahhaha Asante sana humu si walipiga chini Yule kakako nimefichwa now na mwingine hahhahahah