Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hongera sana
Hongera sana
Hahahaha sio utakosa akili.Mkuu wandikwa ukizini utakosa akili.
Subiri ndoa
Anasema unamsumbua wakati ndoa bado.
poa habari ni gani boss.Good morning toooo
Salama kabisa Jimena uko poa?Habari ya jumapili wakuu.......
Ha haaa. Ndoa IPI tena?Anasema unamsumbua wakati ndoa bado.
Itakuwa ni zile za mkeka.Ha haaa. Ndoa IPI tena?
Tulishafunga
Nina amani sasa baada ya kukuona jimena.Habari ya jumapili wakuu.......
Imeandikwaje labda.Hahahaha sio utakosa akili.
Hata mi nna amani pia,Nina amani sasa baada ya kukuona jimena.
Jana ulienda kuosha wapi???Hata mi nna amani pia,
Jumapili tulivu kabisa

Jana tulikuwa tunatumia hela za urithiJana ulienda kuosha wapi???
Kuna MTU alisema anaosha na wewe....![]()
![]()
![]()
![]()
Yani na hii mvua inavyotaka sifa, sitoki kwenda popote nipo getto nacheza playstation.Njema kabisaa mkuu.
Weekend inaishia wap
Ukifika ukatambike kwa mshana jr
Hii ndiyo hali halisi kwa maisha yetu ya kiafrika.Ukifika ukatambike kwa mshana jr
mkuu mimi nacheza Euro truck,hii mvua sio kabisaYani na hii mvua inavyotaka sifa, sitoki kwenda popote nipo getto nacheza playstation.