EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Kwema kabisa Mkuu.shukrani boss, kwema humu
Kwema kabisa Mkuu.shukrani boss, kwema humu
Mwanaume ndo kiongozi so yeye anatakiwa kufanya maamuzi katika mambo mengi tuUpo sahihi ila kwa hiyo sentensi ya mwanzo maswali kama haya hayaepukiki.
Kumbe Kuna kuzini na asiye mwanamke?
Ukizin na huyo asiemwanamke utakua una akili au?
Sasa katazo halikuainisha hilo,
Lakini wewe ndo umekuja kutujuza kuwa aziniye na mwanamke hana akili (hapo ina maana ni mwanaume ndio ambaye hana akili)
Nataka kujua kuwa hiyo ya wote hawana akili umeipata wapi??![]()
![]()
![]()
Mashairi ya wimbo gani vile?Ha haa.....Mimi ninaondoa halali.
Huyu youngblood hana ndoa.
Neno linamuhusu kabisaa.
Rev jambilo atusaidie hapa
Sababu zipo ndo tuendelee kuzifanya au?![]()
![]()
![]()
![]()
Ukiwaza sana zile amri TEN sijui km maisha yatakuwepo sababu dhambi ni sehemu ya maisha
Mfano mwanamke kuvaa suruali tu ni dhambi
..............
Ni vyema kumshukuru Mungu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Loyola High School
Nilikuwa church
............................
Wapi baba paroko asaidie apa kufafanua andikoMwanaume ndo kiongozi so yeye anatakiwa kufanya maamuzi katika mambo mengi tu
Salama kabisa Mkuu, habari ya jumapili.Mkuu.....niajeee
Andiko linasema mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume![]()
![]()
![]()
![]()
Ukiwaza sana zile amri TEN sijui km maisha yatakuwepo sababu dhambi ni sehemu ya maisha
Mfano mwanamke kuvaa suruali tu ni dhambi
..............
Jibu jepesi sana kwenye swali gumu mkuuMwanaume ndo kiongozi so yeye anatakiwa kufanya maamuzi katika mambo mengi tu
Cha msingi tupunguze kufanya maovu....hakuna anayekufa akiwa ana dhambiSababu zipo ndo tuendelee kuzifanya au?
Najua hakuna mkamilifu chini ya jua ila tujitahidi kutenda mema
Kukataza na kutokuwa na akili ni vitu viwili tofautiWote hawana akili sababu kwenye amri za Mungu wamekataza
Suruali ni suruali ndio maana zina zipu sehemu mojaAndiko linasema mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume
Kwahiyo sio suruali zote zimekatazwa, zilizokatwa na za kiume tu![]()
![]()
Na pia imeandikwa mwanaume asifunike kichwa hivyo muache kuvaa kofia
Sasa kama umekatazwa kitu halafu unakifanyaKukataza na kutokuwa na akili ni vitu viwili tofauti
Wana exegarate tu hawa viongozi wa dini, ila maandiko yameweka kila kitu wazi.Suruali ni suruali ndio maana zina zipu sehemu moja
Kiimani ni mwiko mwanamke kuvaa suruali
.................
Hujajibu swali mkuuSasa kama umekatazwa kitu halafu unakifanya
Wewe unafikiria nini kama Sio kutokuwa na akili huko maana unajua kabisa hii ni dhambi
weekend inaendaje.?Kwema kabisa Mkuu.
Fuata maandiko sio Padri/SheikhWana exegarate tu hawa viongozi wa dini, ila maandiko yameweka kila kitu wazi.
Ni kama wanavyosema kuwa pombe ni dhambi ilihali maandiko hayajasema hivyo.
Kikubwa ni upendo tu hayo mengine ni mapokeo
Love is my religion
Hujajibu swali mkuu
Ila ngoja nikuache tu
Ndo mpango mzima mkuuNi vyema kumshukuru Mungu.