kwa makapuku tulio na kauka nikuvae hii mvua haitufanyii fair kabisa![]()
![]()
![]()
![]()

Mtu aziniye na mwanamke hana akiliImeandikwaje labda.
Ha ha subiri ndoa braza
Ha haaa...Yani na hii mvua inavyotaka sifa, sitoki kwenda popote nipo getto nacheza playstation.
mkuu kumbe na wewe ni mdau wa game.?mkuu mimi nacheza Euro truck,hii mvua sio kabisa
Itakua vizur kama ingekua mtu aziniye hana akili maana...............Mtu aziniye na mwanamke hana akili

Maana nini?Itakua vizur kama ingekua mtu aziniye hana akili maana...............![]()
![]()
leo siku inaishia getto bila shaka, mana hii mvua mpaka atuskilizani.Ha haaa...
Toka tuu mitumbwi IPO mzeee
Je anaye zini na mwanaume??Mtu aziniye na mwanamke hana akili
Mwanaume na mwanamke ndo wanazini. Kabla ya ndoaJe anaye zini na mwanaume??
Umesema anayezini na mwanamke hana akili (ukimaanisha mwanaume)Mwanaume na mwanamke ndo wanazini. Kabla ya ndoa
Wote hawana akili sababu kwenye amri za Mungu wamekatazaUmesema anayezini na mwanamke hana akili (ukimaanisha mwanaume)
Sasa vipi kwa huyo mwanamke anayezini na mwanaume??
Upo sahihi ila kwa hiyo sentensi ya mwanzo maswali kama haya hayaepukiki.Mwanaume na mwanamke ndo wanazini. Kabla ya ndoa
ndio mkuu yanapunguza mawazomkuu kumbe na wewe ni mdau wa game.?
Sasa katazo halikuainisha hilo,Wote hawana akili sababu kwenye amri za Mungu wamekataza

Pamoja sana braza.Usiwaze mkuu.
Wote hawana akili sababu kwenye amri za Mungu wamekataza