amenNi kweli mkuu,na bado naendelea kuwaombea wotee muwe na amani na upendo kwa wote..MUNGU ANATOA AMANI KULIKO AWAYE YOTE
[emoji524] YOHANA MTAKATIFU 14
27.Amani nawaachieni ;amani yangu nawapa,niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo .msifadhaike mioyoni mwenu wala msiwe na woga
ASEMA BWANA WA MAJESHI[emoji120]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaaaa.
Occupation; mbeya wa mjini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] cimpoHahaaaa.
Occupation; mbeya wa mjini
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]fitna nimeshazizoe baba mchuchu
ni QuiqleyAisee
kwako nije kufanya nini sasaKaaah?
Why not my pm?
sasa kule nimetekwa vipiHata mimi nashangaa, naambiwa eti ni kule kwenye uzi pendwa wa vibonge
Naona shedede anakunyemeleaunatamni ungekua single
mimi tena T na wakati natafutiwa mke wa pili mara sijui nimeachika ujue mtu anaweza kuwa na ww hana amani ya moyo afate anachotaka kufata ili moyo wake uwe na amani zoteHahaaaaa!
Shunie usifanye hivyo bhana..
Kwani kwa shululu unaenda kufanya nini shem?kwako nije kufanya nini sasa
poa joshy za wwMambo mrembo shunie?
No...mimi tena T na wakati natafutiwa mke wa pili mara sijui nimeachika ujue mtu anaweza kuwa na ww hana amani ya moyo afate anachotaka kufata ili moyo wake uwe na amani zote
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ulikuja mara moja tu ukapotea tena ndio nakuona leo ankali wangu
Unaendleaje mke mweee,bora umerudi huku hakukaliki shemu kachachamaa cjui umemfanya nntusubili rufaa yetu
Niko poa mamii shunie.poa joshy za ww
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji15] [emoji134]
[emoji15] [emoji4] [emoji4]Lunch time[emoji239] [emoji525] [emoji531] [emoji529] [emoji490] [emoji491] [emoji486] [emoji510]
ebu mwacheni shedede wa watu yuko happy na mapenzi yakeNaona shedede anakunyemelea
nimejiskia tu kwenda kumsalimia shemeji yanguKwani kwa shululu unaenda kufanya nini shem?