Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hajatekwa na mtu, amini hivyo

Shunie yuko na wewe bega kwa bega japo mnapita kwenye kipindi kigumu

Usisikilize watu

Wewe ni shunie
Na
Shunie ni Lee

Fikilia mara mbili mbili, mlikokotoka mlipo na mnapoenda
shemela ndio mana nakupenda nitakuja pm kwako kukusalimia ktk vitu sivipi nafasi ni watu nipo hivyo hata ktk maisha yangu ya nje ya jf
 
Ni kweli mkuu,na bado naendelea kuwaombea wotee muwe na amani na upendo kwa wote..MUNGU ANATOA AMANI KULIKO AWAYE YOTE

[emoji524] YOHANA MTAKATIFU 14
27.Amani nawaachieni ;amani yangu nawapa,niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo .msifadhaike mioyoni mwenu wala msiwe na woga

ASEMA BWANA WA MAJESHI[emoji120]
Amen
 
Back
Top Bottom