shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 21, 2017 #193,181 QUIGLEY said: Kama hiyo kesi inalipa nitsinunua Click to expand... Aisee, haya inunue
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 May 21, 2017 #193,182 shululu said: Lee mimi sina kesi, ila unawasikiliza watu sana, na shemela wangu anakupenda na anamsimamo sana Click to expand... Wewe najioneaa kwa macho
shululu said: Lee mimi sina kesi, ila unawasikiliza watu sana, na shemela wangu anakupenda na anamsimamo sana Click to expand... Wewe najioneaa kwa macho
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 May 21, 2017 #193,183 shedede said: Ila asikuumizee Maana wengine wanene Kuliko Click to expand... Haina wasiwasi.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 May 21, 2017 #193,184 shululu said: Niko poa kabisa my swi wangu Click to expand... Ankali hamna hata introduction??
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 21, 2017 #193,185 shedede said: Nilimpa ila nahisi aliisoma juu juu na hakuelewa Click to expand... Kwenye barua shimba ya buyenze anahusika
shedede said: Nilimpa ila nahisi aliisoma juu juu na hakuelewa Click to expand... Kwenye barua shimba ya buyenze anahusika
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 May 21, 2017 #193,186 Sweetiepie said: Haina wasiwasi. Click to expand...
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 May 21, 2017 #193,187 shedede said: Click to expand... Husna Muba hajambo?
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,943 May 21, 2017 #193,188 Sweetiepie said: Nafasi iko wazi, nahitaji mchumba wa Makapuku tu, siwezi kuwa single humu akati boys mpo . Click to expand... Woyoooooooooo
Sweetiepie said: Nafasi iko wazi, nahitaji mchumba wa Makapuku tu, siwezi kuwa single humu akati boys mpo . Click to expand... Woyoooooooooo
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 May 21, 2017 #193,189 Jimena said: Ankali hamna hata introduction?? Click to expand... Mi mwenyew meshangaa
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 May 21, 2017 #193,190 QUIGLEY said: Kama hiyo kesi inalipa nitainunua Click to expand... Kaka niachiee haws jamaa
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 May 21, 2017 #193,191 shedede said: kwanini Inaonekana wewe na lee mmeniamkia Leo Click to expand... Noo ananisimulia umeiba mkewewe ambaye ni dadangu, so kwenye hiyo kesi ninamaslahi nayo
shedede said: kwanini Inaonekana wewe na lee mmeniamkia Leo Click to expand... Noo ananisimulia umeiba mkewewe ambaye ni dadangu, so kwenye hiyo kesi ninamaslahi nayo
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,943 May 21, 2017 #193,192 shululu said: Mukongo mambo Click to expand... Poa niaje Engineer
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 21, 2017 #193,193 BlessedHope said: Nimemuona mwanangu Click to expand... Itabidi ukae naye chini umuweke sawa kuhusu familia yake
BlessedHope said: Nimemuona mwanangu Click to expand... Itabidi ukae naye chini umuweke sawa kuhusu familia yake
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 May 21, 2017 #193,194 werrason said: Amen.....the Same to you Dear Click to expand... Mutu ya kongo
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 May 21, 2017 #193,195 werrason said: Hajakusahau jombii.....anakutajataja sana mpaka..... Click to expand... Kea hiyo unaona wivu kunitajaa
werrason said: Hajakusahau jombii.....anakutajataja sana mpaka..... Click to expand... Kea hiyo unaona wivu kunitajaa
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,943 May 21, 2017 #193,196 lee empire said: Mi natafuta mke wa pili Click to expand...
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 21, 2017 #193,197 lee empire said: Wewe najioneaa kwa macho Click to expand... Porini ulikuwa na macho, shemela alikuwa halali kwa ajili yako
lee empire said: Wewe najioneaa kwa macho Click to expand... Porini ulikuwa na macho, shemela alikuwa halali kwa ajili yako
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 May 21, 2017 #193,198 BlessedHope said: Nimemuona mwanangu Click to expand... Habari za uzima ?
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 May 21, 2017 #193,199 shedede said: Click to expand... Umeuguaa chekeleaa
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 21, 2017 #193,200 Jimena said: Ankali hamna hata introduction?? Click to expand... Ankali unapotea sana