Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Aendelee kupumzika kwa amani1924 - Zelmar Michelini anazaliwa.
1976 - Zelmar Michelini anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwandishi wa habari kutoka nchini Uruguay.
Aliuwawa kutokana na misimamo yake katika kazi yake.
Ni mmoja kati ya watu maarufu wachache kuzaliwa na kufariki tarehe na mwezi unaofanana.
Shukrani mkuu Mussolin5 kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie jmosi, sabato na wikendi njema.
Habari yako mkuu Mndali ndanyelakakomuNipo dada sema hapa mjini kazi zimenizidi
Kweli matukio yanafanana sana.
Kikosi kile cha Marehemu kocha Bruno Metsu hakika kiliushtua Ulimwengu wa soka.
Wachezaji mahiri kama Tony Silva, Omar Daf, Khalilu Fadiga, Nahodha Aloiu Cisse ( kocha wa sasa ), Ferdinand Colly, Papa Bouba Diop, Hussein Diouf, Henry Camara na wengineo hakika kilikuwa ni kikosi cha dhahabu.
Ni salama mkuu, sijui nikutumie arafaNyagei mzima kiongozi
Tatizo lako unakimbia kimbia sanaKila asubuhi, amka na Makapuku Forum!!
Mtafute MondrayNipo unguja, lakini sidhani kama imenyesha
Shukrani mkuu Bitoz kwa pichaUfaransa aliondolewa kwa aibu kwenye hatua ya makundi bila kuambulia hata kagoli kamoja nafikiri
.
.
.
Tukutane baadaye mdau
Nikutakie siku njema
.......
Pole
Wikiend fever!!