Ambayo ni karibia 90% ya Wayahudi waliokuwepo kipindi hichoTakribani Wayahudi milioni 6 waliuwawa chini ya utawala wa Hitler.
Ni moja kati ya Uhalifu mkubwa dhidi ya binadamu kuwahi kufanywa duniani.
Nipo unguja, lakini sidhani kama imenyeshaHapa njama kabisa vipi mvua bado ipo
Poa mkuu wasalimie hapo ungujaNipo unguja, lakini sidhani kama imenyesha
Miaka minne baadae, Kwenye Kombe la Dunia lililofanyika pale Marekani, Roger Milla alifunga goli akiwa na miaka 42 na kumfanya kuweka rekodi ya kufunga goli akiwa na umri mkubwa zaidi.
Ni kweli, lakini huwezi kulinganishha na mataifa makubwaBado hatujapata Uhuru hapo
Ni idadi kubwa sana ya Wayahudi.Ambayo ni karibia 90% ya Wayahudi waliokuwepo kipindi hicho
.....
Swalama kabisa!!Mzima mkuu?
Sawa mkuu tumshukuru atupae pumziSwalama kabisa!!
Ni kweli mkuu.Ni kweli, lakini huwezi kulinganishha na mataifa makubwa
1986 - Stephane Mbia anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa QPR, Marseille, Seville na timu ya taifa ya Cameroon.
Naam!!Sawa mkuu tumshukuru atupae pumzi
Pole aiseeNipo dada sema hapa mjini kazi zimenizidi
Asante dadaPole aisee
Iko vizuri mkuu huko jeNaam!!
Wikiend ipo njema eee
Mama wa biashara mzimaNapita
1924 - Zelmar Michelini anazaliwa.
1976 - Zelmar Michelini anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwandishi wa habari kutoka nchini Uruguay.
Aliuwawa kutokana na misimamo yake katika kazi yake.
Ni mmoja kati ya watu maarufu wachache kuzaliwa na kufariki tarehe na mwezi unaofanana.
Rekodi bado ipo imesimama haijavunjwa.Hadi leo nafikiri rekodi haijavunjwa
Ila Waafrika wa sasa ni mabingwa wa kudanganya umri/kupunguza miaka
......
Rekodi bado ipo imesimama haijavunjwa.
Kikosi kile cha Cameroon mwaka 1990 kilimfanya marehemu Pepe Kalle kutunga nyimbo mahsusi kwa Roger Milla na kikosi kizima cha Simba Wasiofugika ( Indomitable Lions ).
Ikumbukwe mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia mwaka 1990 pale Italy, ilkuwa ni Argentina ( Mabingwa watetezi ) dhidi ya Cameroon.
Mechi iliisha kwa Cameroon kuifunga Argentina 1-0 , huku Diego Armando Maradona akibanwa vilivyo kabisa ( Man marking ) na Emanuel Kunde na matokeo hayo kuishangaza Dunia.
Cameroon ikaenda hadi robo fainali alitolewa na England. Hivyo kuwa timu ya kwanza ya Afrija kufika robo fainali ya WC.
Kweli matukio yanafanana sana.Yaleyale ya Senegal 2002 pale Japan na Korea Kusini
Mechi ya kwanza walimtabdika bingwa mtetezi kwa nao 1 lililofingwa na Pape Diop
Ikafika hadi robo fainali
.......