mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Muwekee mwenzako dhana kwamba hatakumwaga daimaWeeee, bora uendelee kuumwa tu ila habari ya kumpa saa lazima kuwepo masharti, tena naona hata mahakama itapendelea tunatafuta mganga mmoja anatulisha yamini.
Akinimwaga anarudisha saa
Ameen mama mchuchuPole Mungu akuponye mwili na roho
Kumbe P ndo mwenye Sean John zinazozagaa mtaani kwetu.2/Sean John Combs
Ana umri wa miaka 44 anajulikana zaidi kama P Diddy
Enzi hizo wakati damu ikimchemka alikuwa akitoka kimapenzi na Jennifer Lopez
Anamiliki kampuni kibao ikiwemo ya mavazi iitwayo Sean John
Anamiliki pia studio
Ana utajiriunaofikia USD 630 Milioni
......
Yupo, kesho utamuonaSawa mkuu dada sijamwona yuko wapi
Ha hahhahaha, acha woga shangaziangu, unadhani hata sisi tunazitaka hizidhambi basi!?
Dhambi zenyewe tu ndo, mfano mimi kwa BH, dhambi zinanipenda, tena sana utadhani huwa nazitolea sadaka
Kuna time alikuwepo humu..lee si hayupo inakuchanganyaje sasa
hahhahah wachanjiane vizuri tu wanaume wenyewe pasua hahhahahYapo sana tu
Ha hahhahaha, acha woga shangaziangu, unadhani hata sisi tunazitaka hizidhambi basi!?
Dhambi zenyewe tu ndo, mfano mimi kwa BH, dhambi zinanipenda, tena sana utadhani huwa nazitolea sadaka
Asante mama anguPole sana Shunie
Umekanwa na nani Shunie?shemela mm sipo sitaki dhambi kabisa mm mwenyewe jana nimekanwa sitaki
Itakuwa muujiza.Usijali, soon utadondokewa
Shedede umeonana naye?hahhahah wachanjiane vizuri tu wanaume wenyewe pasua hahhahah
Ameni barikiwa nawe piaZABURI 63
6.Ninapokukumbuka kitandani mwangu,Nakutafakari wewe makesha yote ya usiku.
Unapolala unatafakari nini?
Je unatafakari shida?dhiki tabu,magonjwa,misiba,kukosa,kufukuzwa kazi,kukataliwa
Usiku wa leo mwambie Mungu ASANTE pamoja na mapito yote na misukosuko ya maisha ,kuuguliwa,tabu kukosa chakula lipo jambo kubwa ambalo Mungu anaendelea kufanya katika maisha yako ambalo utaliona pale utakapomtafakari yeye tu na kumshukuru...Mshukuru Mungu kwa kila jambo naendelea kumtafakari usiku wa leo kwa matendo yake makuu ya upendo na wema.
TUOMBE
Asante Baba kwa wema wako,tunajikabidhi mikononi mwako huku tukiutafakari wema na fadhili zako.
Tunaomba ulinzi wako na uwe nasi malaika walinzi watuzunguke katika vitanda vyetu akitusaidia kukutafakri na kutupa ulinzi wa mwili na roho.
Tunaomba utuamshe salama na utupe amani ya mwili na roho..utupe matumaini.
Tunawakabidhi kwako wagonjwa,yatima,wafiwa naomba faraja itawale.
Naomba katika jina la Yesu mpatanishi na mwokozi wetu
AMEN
.
MBARIKIWE USIKU MWEMA
na baby wangu leeUmekanwa na nani Shunie?
ndio hayupo sasa hivi halaf nimeona kweli mnajuana mana alivyojibu pale kuwa yeye ni mweusi acha niwaache mnajuanaKuna time alikuwepo humu..
Hajakukana hata kidogo, nilichogundua Lee anakupenda sanana baby wangu lee
Nilionana nae jana na leo pia mchana nilivyokuja asee shedede jana alinitetea maskinShedede umeonana naye?
Njozi Njema Mkuu.Usiku mwema Makapuku wenzangu