Makapuku Forum

Ujumbe mzito sana
.....
 
1962 - Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Rais John F. Kennedy ( JFK ) inafanyika katika ukumbi wa Madison Square Garden huko New York.

Sherehe hiyo ilifanyika siku 10 kabla ya siku halisi ya kuzaliwa kwa Rais Kennedy ambapo watu 15,000 walihudhuria.

Mtumbuizaji katika sherehe hiyo alikuwa mrembo maarufu wa miaka hiyo, Marilyn Monroe ambaye aliimba nyimbo maalum kwa JFK iitwayo " Happy Birthday Mr President "

Marilyn Monroe alizua gumzo kutokana na gauni lake alilotupia siku hiyo. Gauni hilo lilikuja kupigwa mnada mwaka 1999 kwa Dola Milioni 1.26

Na ilikuwa ni mara ya mwisho kwa Marilyn Monroe kuonekana hadharani kabla ya kifo tata kumkumba.

Katika sherehe hiyo, jambo la kushangaza ni kuwa Mke wa Rais, Jacquline Kennedy hakuhudhuria yeye pamoja na wanae. Badala yake alienda na wanae kuangalia mbio za farasi.
 
Kuna conspirancy theories kuhusu JFk kupenda totoz na kifo cha ms monroe?
 

Picha zinaonyesha kimada wake(Marilyn Monroe) alihudhuria na hata kuhutubia
.......
 
Asante Mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…