Makapuku Forum


FYI: Gwiji huyu aliandika ile makala fupi iitwayo 'Not Enough Generals Were Killed" na akasema mambo kama manne hivi kuhusu utawala

1. Kiongozi lazima uwe na wafuasi
2. Umaarufu wa kiongozi haumfanyi awe kiongozi bora, matokeo ndiyo humfanya awe kiongozi bora, sio kusemasema kama mtoto wa miaka 7
3. Kiongozi huonekana zaidi hivyo ni vizuri akwa mfano bora
4.Uongozi sio cheo, hisani, jina au pesa. Uongozi ni kuwajibika.

Na zaidi kiongozi sio mhubiri tu, kiongozi ni mtendakazi (a doer).

Kiongozi bora hukaa mbele ya wapigananji wake ili kuhakikisha matokeo yanayopatikana ni ya wote na yaliyokubaliwa na wote. Na kwa sababu vita vya dunia hasa upande wa Austria ilishindwa vibaya ni kwa sababu majenerali hawakufa vya kutosha, wao walikaa nyuma na kusakizia wapiganaji mbele bila kuwa na ramani.
Not enough generals were killed. Asante mdau kwa nukuu ya leo
 

Asante kwa magazeti Shululu, na hii habari ya ushauri wa IMF kwa serikali kusaidia sekta binafsi ndiyo imenivutia.
Tunakoenda na aina ya uchumi unaosambaa dunia kote ni sekta binafsi kuwa waajiri wakuu na si serikali. Usipomwezesha mama ntilie afungue mgahawa mzuri, mkandarasi aajiri wengi, mfanyabiashara afanye biashara na mengine mengi ya PS basi kupambana na bomu la ajira kwa vijana itachukua muda sana
 
Asante Obe, usemacho ni kweli na ps kwa sasa iko hoi
 
Hatari sana mkuu..

Shukrani kuwa kuna watu mnapitia vitabu na maandiko maarufu..

Huyo jamaa alikuwa kichwa sana kwenye mambo ya uongozi..

Amechukua tuzo ya presidential medal of freedom mwaka 2002.

He was go at it and he worked on his potential..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…