Makapuku Forum

Mkuu nilifupisha habari halafu nikaongezea mbwembwe
Majimbo zaidi ya 20 yamehalalisha bangi ila km ulivyofafanua ni kwa ushauri wa kidaktari nskubali ulivyoelezea kiundani
Naedit kidogo tu
...........
Tuko pamoja Madenge. Siku hizi nimeshakujulia wala hunisumbui tena
...

Marekani bangi ni biashara kubwa at a federal level. Ukienda magerezani huko wamejaa weusi na minorities wengine; na makosa yao mengi ni madawa ya kulevya lakini ukichunguza vizuri ni bangi. Msokoto mmoja mtu anakula mvua tatu na akitoka hapo ana rekodi ya u-criminal. Hawezi kupiga kura, kwenda college au kupata kazi. Basically s/he is done!

Mbali na magereza ya serikali za miji, majimbo na serikali kuu, magereza mengi yanamilikiwa na makampuni binafsi na ni biashara ya mabilioni kwa mwaka. Utakuta wanasiasa, hasa hawa wa kihafidhina, wana hisa zao kwenye makampuni haya yanayoendesha magereza binafsi na kila miswada ya kuhalalisha bangi katika level ya federal government inapokuja kwenye congress basi wanaipiga chini kwa sababu bangi ikihalalishwa maana yake kuna hatari ya wafungwa kupungua magerezani. Na hii ni hasara kwao. Mbali na kuwa ni biashara lakini pia ni mechanism nzuri tu ya kuendelea kuwadidimiza watu weusi kiuchumi, kijamii na kimaendeleo. Wachambuzi wengi wanaamini kwamba hii ndiyo sababu hasa bangi haijahalalishwa katika federal level. Ukisikia matatizo ya kimfumo ndiyo haya sasa. Ndiyo maana weusi na minority wengine wanaonekana kama vile wameshonwa kwenye vicious cyle ya poverty, drugs, jail. Sijui watajitanzua lini
 
Mkuu tunajuana wenyewe
Kumbe huko USA wana siasa akina ya Rostam Aziz pia wapo
....
 
Kila binadamu ana
waves zake, kwa hiyo music kwa watoto ni muhimu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…