AiseeDuuh!
Na wanasema ukisafiri kwa ndege uwe makini sana na wanaijeria... Hawachelewi kuficha madawa ya kulevya kwenye mizigo yako ili upite kwenye kufanyiwa sachi... Ukitoka salama wanajifanya wamesahau kitu kwenye begi lako
Upo?Karibu
Kumbuka ndiyo nchi yenye watu wengi zaidi Afrika hivyo lazima watawanyikeDuuh! Inasemekana hawa wanaijeria, wanapatikana katika kila jela duniani [emoji3][emoji3]
Aisee inashangaza sana2/India
Kwa kipindi kirefu bangi ilikuwa ni halali hadi hapo karne ya 19 walipoanza nongwa na hivyo kuwa haramu
3.4% wanavuta bang(i ila kumbukeni Wahindi wapo bilion i1.2 inashika #2 kwa idadi ya watu duniani nyuma ya China)
Wahindi Milioni 39 ni wavuta bangi
.......
Kasoro 9m peopleIdadi ya wavuta bhangi india sawa na idadi ya wabongo
Lazima uwe na stimu ndipo ufanye jambo hatari kama hilo [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanigeria na Waghana wanaongoza kwa utapeli Afrika
Waghana washawahi kuuliza hadi ubalozi wa Marekani kwa kutengeneza Visa feki
Bangi zinawapa mzuka
......
NipoUpo?
Ulikuwa hujui mkuuMmmh kumbe nyie couple eeh[emoji20][emoji20]
Hujamboo?Abee
Hongera sana
Mama Mchungaji heshima ykoNice
Ok asanteNdio Tembo walisense maafa
Salama za uzimaMama Mchungaji heshima yko
Husna muba na shedede ni mwili mmoja, na shedede aliamua kuchukua uamuzi wa kuacha kaziKafanyaje tena mkuu?
HaaaaahaaaaBangi haipotezi kama Noah nyeusi ingekuwa halali watu wangejitambua
Wavuta ugoro wagororoke, bangi nzuri niya kusaga na kuweka kwenye chai au ujiLazima uwe na stimu ndipo ufanye jambo hatari kama hilo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bangi nibangue