Makapuku Forum

haya lete mambo hayo!
 
5/Pakistan
Zamani ilikuwa ikitumiwa na waumuni wa dhehebu la Hindu hadharani kwenye ibada na mikusanyiko yao
Siku hizi imefanywa kuwa haramu hivyo wanapuliza kimyakimya
4% ya Wapakistan wanavuta bangi
Hii ni sawa na watu milioni 7.6
........
 
3/Nigeria
Nchi hii ya matapeli wa Afrika Magharibi bangi ni haramu lakini wanapuliza ni km kawa
14% ya Wanigeria ni wavuta bangi
Yaani watu Milioni 25
........
Duuh!
Na wanasema ukisafiri kwa ndege uwe makini sana na wanaijeria... Hawachelewi kuficha madawa ya kulevya kwenye mizigo yako ili upite kwenye kufanyiwa sachi... Ukitoka salama wanajifanya wamesahau kitu kwenye begi lako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…