TOP TEN
Umewahi kuvuta sigara kubwa?
Kwa hapa Bongo inaonekana ni nongwa na serikali imeamua kuifanya kuwa ni dawa ya kulevya ila kwa nchi zingine ganja sio ishu unaweza kujipulizia tu tena hadharani
Sasa nchi zenye wavuta bangi wengi zaidi duniani
Kigezo kilichotumika ni idadi ya wanaovuta na siyo asilimia....hivyo Jamaica hapo japo ni maarufu Hii inatokana na kuwa na wananchi wachache
Karibuni
.......
Nipo wapendwa. Mikutano tu tangu asubuhi mpaka jioni. Tunamaliza kesho na nitakuwa nanyi hapa 24/7. Bila "kugombana" na Shedede na mkewe yaani siku haiendi kabisa!