hahahahaaa some how yes/no...
si unajua huwezi ukasimama moja kwa moja unajiangalia, unatembea huku unajiangalia,
akili yako uigawe mara tatu, kwanza unapoelekea usigongane na mtu
pili mtu asigundue kama unajiangalia kwenye kioo
tatu ujue kama upo chicha au ovyo