Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Basi ni poa sana
Salama kabisa ndugu yangu!
Basi ni poa sana
Salama kabisa ndugu yangu!
Ndio napenda kiasi chake lakiniWewe ni mdau wa mpira?
United we stand #GGMU
umeharibu timu ya mwishoNdio napenda kiasi chake lakini
Manchester United
Real Madrid
Malmö FC
na
Yanga
umeadmika leo vpMi ni poa sanaa
Nani kakudanganya????umeharibu timu ya mwisho
Nawe hukujali hisia zangu ati kikwazo jinaTatizo ni pale mtu anapotaka upende kile anachotaka yeye pasipo kujali hisia zako
Tatizo ni pale mtu anapotaka upende kile anachotaka yeye pasipo kujali hisia zako
Sio jina tu, hata wewe mwenyewe pia ni kikwazoNawe hukujali hisia zangu ati kikwazo jina
Hakumaanisha vibaya hivyo ndio walivyo mashabiki wa msimbaziKila muwamba ngoma huvutia kwake.
Ndiyo asili ya michezo nafikiri hakumaanisha vibaya.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Hata hivyo nilikosea sanaSio jina tu, hata wewe mwenyewe pia ni kikwazo
duuuh hadi malmo.Ndio napenda kiasi chake lakini
Manchester United
Real Madrid
Malmö FC
na
Yanga