Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Marahaba umeamshwaje ubarikiwe sanaShikamoo mama mchungaji
Uwe na siku njema
Ubarikiwe sana
1974 - Polisi wa Jiji la Los Angeles wanavamia makazi ya kikundi cha uhalifu kilichojulikana kama Symbionese Liberation Army ( SLA ) na kuua wanachama 6 wa kundi hilo akiwemo Camilla Hall.
Kikundi hiko chenye mrengo wa kushoto, kilikuwa kunajishughulisha na Uvamizi wa mabenki, utekaji watu na ufanyaji vurugu.
AmenISAYA 43
1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)
HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU
-FAKALAVA
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO
2.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hutateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza.
3.Maana mimi ni BWANA MUNGU wako ,MTAKATIFU wa Israel,MWOKOZI wako ,nimetoa Misri kuwa ukombozi wako ,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
4.Kwakuwa ulikuwa waTHAMANI MACHONI PANGU,na mwenye KUHESHIMIWA,nami NIMEKUPENDA,Kwasababu hiyo nitatoa WATU kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako
5.USIOGPE MAANA MIMI ni PAMOJA nawe,nitaleta wazao wako toka magharibi.
Wapendwa Mungu anatupenda sana ,na ametupa matumaini ya kuishi kwa furaha na hata TUSIOGOPE
TUSIOGOPE MAANA YUKO PAMOJA NASI.ANATUPENDA,ANATUTHAMINI,ANATUJALI
WOGA HULETA KUKATA TAMAA NA HAKIKA HATUPASWI.
KWALOLOTE TUNALOPITIA TUMTANGULIZE MUNGU MBELE YEYE NDIO MUANZILISHI NA MMALIZIAJI WA MAISHA YETU.
TUFANYE KAZI KWA BIDII,TUMHESHIMU,TUMPENDE NA HAKIKA TUTAYAONA MEMA MENGI NA AHADI ZAKE ZOTE ZITATIMIA
TUOMBE
Baba asante kutuamsha salama
Asnte kwa upendo wako usio na mwisho
Tunaomba ututoe roho ya woga na tukutumaini wewe siku zote za maisha yetu
Tufundishe kukupenda ,kukutii,kukuheshimu maana itatujenga kuwa na Upendo kuwa watii na kujiheshimu daima.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,na utusaidie tuwasamehe wale wote waliotukosea ili tusonge mbele.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto yoyote..WASIOGOPE.
ASANTE BABA KWA KUWA UTATUPA KUSHINDA
Naomba katika jina la Yesu Amen
SIKU NJEMA...MSIOGOPE
Bitoz njoo utupe pics.
Tayari nimrfikaKaribu Bitoz tunasubiri picha.
1983 - Nchi za Marekani, Israel na Lebanon zasaini mkataba wa kuitaka Israel kujiondoa katika ardhi ya Lebanon.
1994 - Malawi yafanya Uchaguzi Mkuu wa kwanza katika Historia ya nchi hiyo.
Bakili Muluzi anashinda Uchaguzi huo na kumbwaga Rais Kamuzu Banda.
Asante uwe na siku njema pia barikiwaasanteni kwa vipindi na sala
cc; Transcend
cc: Shululu
cc: Mama yetu
habari za asubuhi wanafamilia....muwe na siku njema
Pamoja kiongoziShukrani kwa magazeti chief.
Hongera kwa 190KMorning mkuu
Ppf towerMkuu Hivi hayo majengo ni ya wapi?
Nakupata mujarabu kabisa boss
Ondoa shaka juu ya kipenzi chako ulinzi ni 100% yuko salama salimini.
BTW tunashukuru umerejea
Ndio hivyo
Kwahiyo muosha huoshwa
Pamoja bitozWaafrika hakuna utamaduni wa kujiuzulu/kuacha kazi kwa hiyari sababu hali ngumu ya kimaisha(umaskini)
Hivyo kujiuzulu kwa mkuu wa mkoa na majaji lazima yatasemea maneno mengi
.
.
Shukrani kwa magazeti
.....
AmenISAYA 43
1.Lakini ,sasa BWANA aliyekuhuluku,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba .Ee Israel,asema hivi,USIOGOPE,maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako,WEWE U WANGU...(SISI NI WA MUNGU)
HAPA TUNAITWA KWA MAJINA YETU
-FAKALAVA
-LEE EMPIRE
-OBE
-WERASSON
-SHUNIE
-SHULULU
-CYLKEI
-NYAGEI
-MUSSOLIN5
-SHIMBA YA BUYENZE
-BITOZ
-SHEDEDE
-TUMOSA
-MONDRAY
-QUIGLEY
-SAKAYO
-TRANCSEND
-VALENTINA
-BLESSEDHOPE
-BAILY5
-HUSNA MUBA
-IPOGOLO
-UKHUTHY
-QUEEN
-TETRA....
-ARCHIDUKE
-SNIPES
-MNDALI
-MSAKA-UCHAWI
-DINGIMTOTO
-MAKAPUKU WOTE
NA WENGINE SIJASHIKA MAJINA (MNISAMEHE)UJUMBE HUU UNATUHUSU ASUBUHI YA LEO
2.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hutateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza.
3.Maana mimi ni BWANA MUNGU wako ,MTAKATIFU wa Israel,MWOKOZI wako ,nimetoa Misri kuwa ukombozi wako ,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
4.Kwakuwa ulikuwa waTHAMANI MACHONI PANGU,na mwenye KUHESHIMIWA,nami NIMEKUPENDA,Kwasababu hiyo nitatoa WATU kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako
5.USIOGPE MAANA MIMI ni PAMOJA nawe,nitaleta wazao wako toka magharibi.
Wapendwa Mungu anatupenda sana ,na ametupa matumaini ya kuishi kwa furaha na hata TUSIOGOPE
TUSIOGOPE MAANA YUKO PAMOJA NASI.ANATUPENDA,ANATUTHAMINI,ANATUJALI
WOGA HULETA KUKATA TAMAA NA HAKIKA HATUPASWI.
KWALOLOTE TUNALOPITIA TUMTANGULIZE MUNGU MBELE YEYE NDIO MUANZILISHI NA MMALIZIAJI WA MAISHA YETU.
TUFANYE KAZI KWA BIDII,TUMHESHIMU,TUMPENDE NA HAKIKA TUTAYAONA MEMA MENGI NA AHADI ZAKE ZOTE ZITATIMIA
TUOMBE
Baba asante kutuamsha salama
Asnte kwa upendo wako usio na mwisho
Tunaomba ututoe roho ya woga na tukutumaini wewe siku zote za maisha yetu
Tufundishe kukupenda ,kukutii,kukuheshimu maana itatujenga kuwa na Upendo kuwa watii na kujiheshimu daima.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,na utusaidie tuwasamehe wale wote waliotukosea ili tusonge mbele.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto yoyote..WASIOGOPE.
ASANTE BABA KWA KUWA UTATUPA KUSHINDA
Naomba katika jina la Yesu Amen
SIKU NJEMA...MSIOGOPE
Ndio hivyo
Kumbe Hitler aliona mbali kuwaua Wayahudi 90% ili kuwapunguza
Maana inaonekana nguvu zao za kijeshi ziloanza kuonekana zamani sana
.....